-
Isaya 43:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Nikumbushe; na tukutane ili tufanye kesi;
Toa hoja zako ili kuthibitisha kwamba unasema ukweli.
-
-
Yeremia 2:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Lakini unasema, ‘Sina hatia.
Hakika hasira yake imeniondokea.’
Sasa ninaleta hukumu dhidi yako
Kwa sababu unasema, ‘Sijatenda dhambi.’
-