Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 1:5, 6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  5 Ni wapi mtakapopigwa tena kwa kuwa mnazidi kuasi?+

      Kichwa chote ni kigonjwa,

      Na moyo wote ni mgonjwa.+

       6 Kuanzia wayo wa mguu mpaka kichwani, hakuna sehemu yenye afya.

      Kuna majeraha na michubuko na vidonda vilivyo wazi

      —Havijatibiwa* wala kufungwa wala kulainishwa kwa mafuta.+

  • Yeremia 15:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Kwa nini maumivu yangu ni ya kudumu na jeraha langu haliponi?

      Linakataa kupona.

      Je, utakuwa kwangu kama chanzo cha maji cha udanganyifu,

      Ambacho hakiwezi kutegemeka?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki