Isaya 8:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Kwa hiyo tazama! Yehova ataleta dhidi yaoMaji yenye nguvu na yaliyo mengi ya ule Mto,*Mfalme wa Ashuru+ na utukufu wake wote. Atakuja juu ya sakafu zake zote za vijitoNa kufurika kwenye kingo zake zote
7 Kwa hiyo tazama! Yehova ataleta dhidi yaoMaji yenye nguvu na yaliyo mengi ya ule Mto,*Mfalme wa Ashuru+ na utukufu wake wote. Atakuja juu ya sakafu zake zote za vijitoNa kufurika kwenye kingo zake zote