Isaya 1:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Ole kwa taifa lenye dhambi,+Watu waliolemewa na dhambi,Uzao wa watu waovu, watoto waliopotoka! Wamemwacha Yehova;+Wamemvunjia heshima Mtakatifu wa Israeli;Wamemgeuzia migongo yao. Yeremia 6:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Je, wanaona aibu kwa sababu ya mambo yanayochukiza waliyotenda? Hawaoni aibu hata kidogo! Hata hawajui jinsi ya kufedheheka!+ Basi wataanguka miongoni mwa wale walioanguka. Nitakapowaadhibu watajikwaa,” asema Yehova.
4 Ole kwa taifa lenye dhambi,+Watu waliolemewa na dhambi,Uzao wa watu waovu, watoto waliopotoka! Wamemwacha Yehova;+Wamemvunjia heshima Mtakatifu wa Israeli;Wamemgeuzia migongo yao.
15 Je, wanaona aibu kwa sababu ya mambo yanayochukiza waliyotenda? Hawaoni aibu hata kidogo! Hata hawajui jinsi ya kufedheheka!+ Basi wataanguka miongoni mwa wale walioanguka. Nitakapowaadhibu watajikwaa,” asema Yehova.