Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 43:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  3 Kwa maana mimi ni Yehova Mungu wako,

      Mtakatifu wa Israeli, Mwokozi wako.

      Nimeitoa Misri kuwa fidia kwa ajili yako,

      Ethiopia na Seba badala yako.

  • Ezekieli 30:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Upanga utaishambulia Misri, na Ethiopia itakumbwa na hofu wakati waliouawa watakapoanguka huko Misri;

      Utajiri wake umechukuliwa na misingi yake imebomolewa kabisa.+

       5 Ethiopia,+ Putu,+ Ludi na watu wote wa mataifa mbalimbali,*

      Na Kubu, pamoja na wana wa nchi ya agano,*

      Wote watauawa kwa upanga.”’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki