Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maombolezo 1:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Barabara zinazoelekea Sayuni zinaomboleza, kwa sababu hakuna yeyote anayekuja kwenye sherehe.+

      Malango yake yote yamebaki ukiwa;+ makuhani wake wanalia kwa uchungu.

      Mabikira* wake wanaomboleza, naye analia kwa maumivu makali.

  • Maombolezo 2:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Anakitendea kwa ukatili kibanda chake,+ kama kibanda kilicho katika bustani.

      Amekomesha* sherehe yake.+

      Yehova amesababisha sherehe na sabato zisahauliwe Sayuni,

      Na kwa ghadhabu yake kali hamheshimu mfalme na kuhani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki