Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 5:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Mfalme na wanaume wake wakaenda Yerusalemu kuwashambulia Wayebusi+ waliokuwa wakiishi nchini. Walimdhihaki Daudi wakisema: “Hutaingia humu kamwe! Hata vipofu na vilema watakufukuza.” Hivi ndivyo walivyofikiri: ‘Daudi hataingia humu kamwe.’+ 7 Hata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, ambayo sasa ni Jiji la Daudi.+

  • 1 Wafalme 9:20, 21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Watu wengine wote waliobaki miongoni mwa Waamori, Wahiti, Waperizi, Wahivi, na Wayebusi,+ ambao hawakuwa sehemu ya taifa la Israeli,+ 21 wazao wao waliobaki nchini, ambao Waisraeli walishindwa kuwaangamiza, Sulemani aliwaandikisha ili wafanye kazi ya kulazimishwa kama watumwa mpaka leo hii.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki