Kutoka 21:32 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 32 Ng’ombe dume huyo akimpiga pembe mtumwa wa kiume au wa kike, mwenye ng’ombe dume huyo atamlipa bwana wa mtumwa huyo shekeli 30,* na ng’ombe dume huyo atauawa kwa kupigwa mawe.
32 Ng’ombe dume huyo akimpiga pembe mtumwa wa kiume au wa kike, mwenye ng’ombe dume huyo atamlipa bwana wa mtumwa huyo shekeli 30,* na ng’ombe dume huyo atauawa kwa kupigwa mawe.