Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 23:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Kwa hiyo Yehova Mungu wa Israeli anasema hivi dhidi ya wachungaji wanaowachunga watu wangu: “Mmewatawanya kondoo wangu; mliendelea kuwatawanya, nanyi hamjawakazia fikira.”+

      “Basi nitawakazia ninyi fikira kwa sababu ya matendo yenu maovu,” asema Yehova.

  • Ezekieli 34:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kondoo wangu waliendelea kutangatanga kwenye milima yote na kwenye kila kilima kirefu; kondoo wangu walitawanyika kotekote duniani, na hakuna aliyewatafuta au kujitahidi kuwapata.

  • Mathayo 9:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Alipoona umati akausikitikia,+ kwa sababu walikuwa wamechunwa ngozi na kutupwa huku na huku kama kondoo wasio na mchungaji.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki