-
Yohana 10:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Mtu wa kuajiriwa, ambaye si mchungaji na ambaye kondoo si wake, anapomwona mbwamwitu akija yeye huwaacha kondoo na kukimbia—naye mbwamwitu huwanyakua na kuwatawanya—
-