Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 14:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Asa na watu waliokuwa pamoja naye wakawafuatia mpaka Gerari,+ nao wakaendelea kuwaua Waethiopia hivi kwamba hakuna hata mmoja wao aliyebaki hai, kwa maana walipondwapondwa na Yehova na jeshi lake. Kisha wakachukua nyara nyingi sana.

  • 2 Mambo ya Nyakati 20:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Basi Yehoshafati na watu wake wakaja kuchukua nyara kutoka kwao, wakapata vitu vingi sana, mavazi, na vitu vyenye kutamanika, ambavyo waliwavua mpaka waliposhindwa kubeba zaidi.+ Walichukua nyara hizo kwa siku tatu, kwa maana zilikuwa nyingi sana.

  • Zekaria 2:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kwa maana hivi ndivyo anavyosema Yehova wa majeshi, ambaye baada ya kutukuzwa* amenituma kwa mataifa yaliyokuwa yakiwapora ninyi:+ ‘Yeyote anayewagusa ninyi anaigusa mboni ya jicho langu.*+ 9 Kwa maana sasa nitaupunga mkono wangu dhidi yao, nao watakuwa nyara kwa watumwa wao wenyewe.’+ Na hakika mtajua kwamba Yehova wa majeshi amenituma.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki