Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 21:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,+ 25 alama ya moto kwa alama ya moto, jeraha kwa jeraha, pigo kwa pigo.

  • Mambo ya Walawi 24:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Mfupa uliovunjika kwa mfupa uliovunjika, jicho kwa jicho, jino kwa jino, atajeruhiwa kama alivyomjeruhi mwenzake.+

  • Kumbukumbu la Torati 19:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Hampaswi* kuwahurumia:+ Uhai utatolewa kwa uhai,* jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki