Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 14:3, 4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Kuhani atatoka nje ya kambi na kumchunguza. Ikiwa mtu mwenye ukoma amepona, 4 kuhani atamwamuru alete ndege safi wawili walio hai, tawi la mwerezi, kitambaa cha rangi nyekundu, na tawi la hisopo ili atakaswe.+

  • Mambo ya Walawi 14:19, 20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 “Kuhani atatoa dhabihu ya dhambi+ na kumtolea dhabihu ya kufunika dhambi mtu anayejitakasa uchafu wake, kisha atamchinja mnyama wa dhabihu ya kuteketezwa. 20 Kuhani atatoa dhabihu ya kuteketezwa na toleo la nafaka+ kwenye madhabahu, naye atamtolea mtu huyo dhabihu ya kufunika dhambi yake,+ naye atakuwa safi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki