Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yona 3:5, 6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu,+ nao wakatangaza watu wafunge na kuvaa magunia, kuanzia aliye mkubwa zaidi hadi aliye mdogo zaidi. 6 Ujumbe huo ulipomfikia mfalme wa Ninawi, aliinuka kutoka kwenye kiti chake cha ufalme, akavua vazi lake la kifalme, akavaa nguo za magunia, na kuketi katika majivu.

  • Luka 10:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 “Ole wako, Korazini! Ole wako, Bethsaida! kwa sababu kama matendo yenye nguvu yaliyofanywa kwenu yangefanywa huko Tiro na Sidoni, wangekuwa wametubu zamani, wakiwa wamevaa nguo za magunia na kuketi kwenye majivu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki