Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 18:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi, ikiwa mkono wako au mguu wako unakufanya ukwazike, ukate na kuutupa mbali nawe.+ Ni afadhali uingie katika uzima ukiwa kilema au kiwete kuliko kutupwa ndani ya moto wa milele ukiwa na mikono miwili au miguu miwili.+ 9 Pia, ikiwa jicho lako linakufanya ukwazike, ling’oe na kulitupa mbali nawe. Afadhali uingie katika uzima ukiwa na jicho moja kuliko kutupwa katika Gehena* ya moto ukiwa na macho mawili.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki