Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 13:31, 32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Akawatolea mfano mwingine akisema: “Ufalme wa mbinguni ni kama mbegu ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake.+ 32 Kwa kweli, mbegu hiyo ni ndogo kuliko mbegu zote, lakini inapokua huwa kubwa kuliko mimea yote ya mboga na huwa mti, hivi kwamba ndege wa angani huja na kupata makao katika matawi yake.”

  • Luka 13:18, 19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Basi akaendelea kusema: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini, nitaulinganisha na nini? 19 Ni kama mbegu ya haradali ambayo mtu alichukua na kuipanda katika shamba lake, ikasitawi na kuwa mti, nao ndege wa angani wakajenga viota kwenye matawi yake.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki