Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 1:42-44
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Mara moja ule ukoma ukaisha, akawa safi. 43 Kisha akampa maagizo thabiti na mara moja akamwacha aende, 44 akamwambia: “Usimwambie jambo lolote mtu yeyote, bali nenda ukajionyeshe kwa kuhani na utoe vitu alivyoagiza Musa kwa ajili ya kutakaswa kwako,+ ili kuwa ushahidi kwao.”+

  • Marko 7:35, 36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Ndipo masikio yake yakafunguliwa,+ na tatizo lake la kuzungumza likaisha, naye akaanza kuzungumza vizuri. 36 Kisha akawaamuru wasimwambie mtu yeyote,+ lakini kadiri alivyowakataza, ndivyo walivyozidi kutangaza jambo hilo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki