4 Alipoacha kuzungumza, akamwambia Simoni: “Peleka mashua mahali penye kina, kisha mshushe nyavu zenu, mvue samaki.” 5 Simoni akamjibu: “Mwalimu, tumejitahidi kuvua samaki usiku wote na hatukupata chochote,+ lakini nitazishusha nyavu kama ulivyoniagiza.”