Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 37:9-11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Baada ya hayo akaota tena ndoto nyingine, naye akawasimulia ndugu zake ndoto hiyo: “Nimeota ndoto nyingine. Wakati huu jua na mwezi na nyota 11 zilikuwa zikiniinamia.”+ 10 Kisha akamsimulia baba yake na ndugu zake ndoto hiyo, baba yake akamkemea na kumuuliza: “Ndoto hiyo yako inamaanisha nini? Je, kweli mimi na pia mama yako na ndugu zako tutakuja na kukuinamia mpaka ardhini?” 11 Basi ndugu zake wakazidi kumwonea wivu,+ lakini baba yake akayaweka akilini maneno yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki