Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 9:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Lakini Sauli aliendelea kuwatisha wanafunzi wa Bwana akitaka kuwaua,+ basi akamwendea kuhani mkuu 2 na kumwomba barua za kwenda kwenye masinagogi huko Damasko, ili awakamate wanaume na wanawake walioifuata Ile Njia,+ na kuwaleta Yerusalemu wakiwa wamefungwa.

  • Matendo 19:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Lakini baadhi yao wakawa wagumu* na wakakataa kuamini, huku wakizungumza vibaya kuhusu Ile Njia+ mbele ya umati. Basi akawaacha+ na kuwatenga wanafunzi kutoka kwao, na kila siku alikuwa akitoa hotuba katika ukumbi wa shule ya Tirano.

  • Matendo 22:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Niliitesa Njia hii kufikia kifo, nikiwafunga na kuwatia magerezani wanaume na wanawake pia,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki