Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 23:20, 21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Akasema: “Wayahudi wamekubaliana kukuomba umshushe Paulo kwenye Sanhedrini kesho, kana kwamba wanataka kupata habari zaidi kuhusu kesi yake.+ 21 Lakini usikubali wakushawishi, kwa maana kuna wanaume zaidi ya 40 kati yao walio tayari kumvizia, nao wamejifunga kwa laana* kwamba hawatakula wala kunywa mpaka watakapomuua;+ na sasa wako tayari, wakisubiri ruhusa kutoka kwako.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki