Luka 4:38, 39 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 38 Alipotoka katika sinagogi akaenda nyumbani kwa Simoni. Mama mkwe wa Simoni alikuwa na homa kali, wakamwomba Yesu amponye.+ 39 Yesu akasimama kando yake, akaikemea ile homa, ikaisha. Papo hapo akasimama na kuanza kuwahudumia.
38 Alipotoka katika sinagogi akaenda nyumbani kwa Simoni. Mama mkwe wa Simoni alikuwa na homa kali, wakamwomba Yesu amponye.+ 39 Yesu akasimama kando yake, akaikemea ile homa, ikaisha. Papo hapo akasimama na kuanza kuwahudumia.