Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Matendo—Yaliyomo MATENDO YALIYOMO 1 Ujumbe kwa Theofilo (1-5) Mashahidi mpaka sehemu ya mbali ya dunia (6-8) Yesu apaa mbinguni (9-11) Wanafunzi wakusanyika kwa umoja (12-14) Mathia achaguliwa kuchukua mahali pa Yuda (15-26) 2 Wanafunzi wapokea roho takatifu siku ya Pentekoste (1-13) Hotuba ya Petro (14-36) Umati wakubaliana na hotuba ya Petro (37-41) Watu 3,000 wabatizwa (41) Ushirika wa Kikristo (42-47) 3 Petro amponya kilema aliyekuwa akiombaomba (1-10) Hotuba ya Petro kwenye Safu ya Nguzo za Sulemani (11-26) “Kurudishwa kwa mambo yote” (21) Nabii kama Musa (22) 4 Petro na Yohana wakamatwa (1-4) Idadi ya waamini yafikia wanaume 5,000 (4) Kesi mbele ya Sanhedrini (5-22) “Hatuwezi kuacha kusema” (20) Wasali ili wapate ujasiri (23-31) Wanafunzi washiriki vitu vyao pamoja (32-37) 5 Anania na Safira (1-11) Mitume wafanya ishara nyingi (12-16) Wafungwa gerezani, kisha waachiliwa huru (17-21a) Washtakiwa mbele ya Sanhedrini tena (21b-32) ‘Kumtii Mungu badala ya wanadamu’ (29) Ushauri wa Gamalieli (33-40) Kuhubiri nyumba kwa nyumba (41, 42) 6 Wanaume saba wachaguliwa kuhudumu (1-7) Stefano ashtakiwa kwamba amekufuru (8-15) 7 Hotuba ya Stefano mbele ya Sanhedrini (1-53) Nyakati za wazee wa ukoo (2-16) Uongozi wa Musa; Waisraeli waabudu sanamu (17-43) Mungu haishi kwenye mahekalu yaliyojengwa na wanadamu (44-50) Stefano apigwa mawe (54-60) 8 Sauli mtesaji (1-3) Filipo apata matokeo mazuri katika huduma huko Samaria (4-13) Petro na Yohana watumwa Samaria (14-17) Simoni ajaribu kununua roho takatifu (18-25) Toashi Mwethiopia (26-40) 9 Sauli akiwa njiani kuelekea Damasko (1-9) Anania atumwa kumsaidia Sauli (10-19a) Sauli ahuburi kumhusu Yesu huko Damasko (19b-25) Sauli atembelea Yerusalemu (26-31) Petro amponya Ainea (32-35) Dorkasi mkarimu afufuliwa (36-43) 10 Maono ya Kornelio (1-8) Maono ya Petro kuhusu wanyama waliotakaswa (9-16) Petro amtembelea Kornelio (17-33) Petro awatangazia habari njema watu wa mataifa (34-43) “Mungu hana ubaguzi” (34, 35) Watu wa mataifa wapokea roho takatifu na kubatizwa (44-48) 11 Petro atoa ripoti kwa mitume (1-18) Barnaba na Sauli huko Antiokia ya Siria (19-26) Wanafunzi waanza kuitwa Wakristo (26) Agabo atabiri kuhusu njaa (27-30) 12 Yakobo auawa; Petro afungwa gerezani (1-5) Petro awekwa huru kimuujiza (6-19) Malaika ampiga Herode (20-25) 13 Barnaba na Sauli watumwa wakiwa wamishonari (1-3) Huduma huko Kipro (4-12) Hotuba ya Paulo huko Antiokia ya Pisidia (13-41) Amri ya kinabii ya kuwageukia watu wa mataifa (42-52) 14 Ongezeko na upinzani huko Ikoniamu (1-7) Wadhaniwa kuwa miungu huko Listra (8-18) Paulo aokoka kufa baada ya kupigwa mawe (19, 20) Kuyaimarisha makutaniko (21-23) Kurudi huko Antiokia ya Siria (24-28) 15 Bishano kuhusu tohara huko Antiokia (1, 2) Suala lapelekwa Yerusalemu (3-5) Wazee na mitume wafanya mkutano (6-21) Barua kutoka baraza linaloongoza (22-29) Kujiepusha na damu (28, 29) Makutaniko yatiwa moyo kupitia barua (30-35) Paulo na Barnaba waachana (36-41) 16 Paulo amchagua Timotheo (1-5) Maono kuhusu mwanamume Mmakedonia (6-10) Lidia awa mwamini huko Filipi (11-15) Paulo na Sila wafungwa gerezani (16-24) Mlinzi wa jela na nyumba yake wabatizwa (25-34) Paulo ataka ombi rasmi la msamaha (35-40) 17 Paulo na Sila huko Thesalonike (1-9) Paulo na Sila huko Beroya (10-15) Paulo huko Athene (16-22a) Hotuba ya Paulo katika Areopago (22b-34) 18 Huduma ya Paulo huko Korintho (1-17) Kurudi Antiokia ya Siria (18-22) Paulo aenda Galatia na Frigia (23) Apolo mwenye ufasaha asaidiwa (24-28) 19 Paulo huko Efeso; baadhi ya watu wabatizwa tena (1-7) Paulo ajishughulisha na kazi ya kufundisha (8-10) Mafanikio licha ya roho waovu (11-20) Machafuko huko Efeso (21-41) 20 Paulo akiwa Makedonia na Ugiriki (1-6) Eutiko afufuliwa huko Troa (7-12) Kutoka Troa kwenda Mileto (13-16) Paulo akutana na wazee wa Efeso (17-38) Kufundisha nyumba kwa nyumba (20) “Kuna furaha zaidi katika kutoa” (35) 21 Safarini kwenda Yerusalemu (1-14) Kuwasili Yerusalemu (15-19) Paulo afuata ushauri wa wazee (20-26) Vurugu hekaluni; Paulo akamatwa (27-36) Paulo aruhusiwa kuhutubia umati (37-40) 22 Paulo ajitetea mbele ya umati (1-21) Paulo atumia uraia wake wa Roma (22-29) Baraza la Sanhedrini lakutana (30) 23 Paulo azungumza mbele ya Sanhedrini (1-10) Bwana amtia nguvu Paulo (11) Njama ya kumuua Paulo (12-22) Paulo apelekwa Kaisaria (23-35) 24 Mashtaka dhidi ya Paulo (1-9) Paulo ajitetea mbele ya Feliksi (10-21) Kesi ya Paulo yacheleweshwa kwa miaka miwili (22-27) 25 Kesi ya Paulo mbele ya Festo (1-12) “Ninakata rufaa kwa Kaisari!” (11) Festo ashauriana na Mfalme Agripa (13-22) Paulo mbele ya Agripa (23-27) 26 Paulo ajitetea mbele ya Agripa (1-11) Paulo aeleza jinsi alivyogeuka (12-23) Maoni ya Festo na Agripa (24-32) 27 Paulo asafiri baharini kwenda Roma (1-12) Meli yapigwa na dhoruba (13-38) Wavunjikiwa na meli (39-44) 28 Ufuoni huko Malta (1-6) Baba ya Publio aponywa (7-10) Kuelekea Roma (11-16) Paulo azungumza na Wayahudi huko Roma (17-29) Paulo ahubiri kwa ujasiri kwa miaka miwili (30, 31)