KUFUKUZA/KUFUKUZWA
(Ona pia Kutenga/Kutengwa na Ushirika)
roho waovu wafukuzwa:
mtu aliyewafukuza roho waovu ijapokuwa hakuwa mfuasi wa Yesu: w08 3/15 31
wafukuzwa kutoka katika binti ya mwanamke wa taifa la Sirofoinike: w10 10/15 4-5; w08 5/1 23
wanafunzi washindwa kumponya mvulana (Mt 17:20; Mk 9:29): w98 8/1 30
wana wa Skewa wajaribu kuwafukuza roho waovu: bt 162
watoto wafukuzwa shuleni kwa sababu ya kutoimba wimbo wa taifa:
Zambia: yb06 236-237