Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w76 8/15 uku. 376
  • Kweli ya Biblia Yaenea Kwa Njia ya Ajabu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kweli ya Biblia Yaenea Kwa Njia ya Ajabu
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Habari Zinazolingana
  • “Hakika Wao Watapigana Dhidi Yako, Lakini Hawatashinda Dhidi Yako”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • Nilifurahia Kufanya Mengi Zaidi
    Amkeni!—2005
  • Kutangaza Ufalme wa Mungu Katika Visiwa vya Fiji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
w76 8/15 uku. 376

Kweli ya Biblia Yaenea Kwa Njia ya Ajabu

● Katika kijiji kimoja cha Afrika magharibi, mmoja wa mashahidi wa Kikristo wa Yehova aliacha nakala ya Mnara wa Mlinzi katika jumba la dini isiyo ya Kikristo. Mwangalizi wa jumba hilo alitangazia wanavijiji baadaye kwamba, ‘Malaika wa Mungu ameleta ujumbe kijijini,’ kisha akaliinua gazeti hilo. Alijiongezea maneno yake mwenyewe akasema mtu ye yote aliyetaka baraka ya Mungu atoe mchango wa senti 80 au zaidi kwa kipande au ukurasa wa gazeti hilo.

Mwanamume mmoja mzee alinunua ukurasa mmoja. Aliyosoma yalitosha kumwamsha apendezwe na ujumbe wa Biblia. Karibuni akaanza kujifunza Maandiko na Mashahidi wa Yehova na kufanya maendeleo mazuri sana.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki