Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w83 11/1 uku. 19
  • Je! Wakumbuka?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je! Wakumbuka?
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • Habari Zinazolingana
  • Kiasi cha Kikristo Ni Uthibitisho wa Hekima
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Heshimuni Ndoa ya Kimungu!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Kusitawisha Kiasi cha Kikristo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Kitabu cha Biblia Namba 57—Filemoni
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
w83 11/1 uku. 19

Je! Wakumbuka?

Je! wewe umefurahia kusoma matoleo kadha yaliyopita ya Mnara wa Mlinzi? Ikiwa ndivyo, ona kama unaweza kukumbuka jambo hili:

□ Wanadamu wasio wakamilifu wanaweza kushindaje ile tabia mbaya ya kutumia usemi mchafu?

Kuepuka kutumia matusi kunaanza kwa kujifunza kuongoza maoni ya moyoni na kuzuia matendo yanayoleta matusi. (Waefeso 4:31) Kujaza akili mawazo yanayofaa kutokana na Biblia kunajenga tamaa zinazofaa, halafu hilo nalo litaonekana katika usemi mzuri. (Mathayo 12:34)​—9/1/83, kurasa 7, 8.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki