‘Mmeniletea Uhodari Mwingi’
Katika barua ya kuomba maandikisho ya magazeti Mnara wa Mlinzi na Amkeni!, mwanamke mmoja kutoka Quebec, Kanada, aliandika hivi:
“Nimekuwa nikisoma vitabu vyenu kwa miaka kadha sasa nami naviona ni vizuri ajabu. Mmenifariji mara nyingi au mkanisahihisha mara nyingi au kuniletea furaha moyoni mwangu. Mmeniletea pia uhodari mwingi. . . . Binti zangu wanne na mimi mwenyewe tunasema ‘asanteni.’ “
Wewe pia unaweza kupokea magazeti hayo mawili yanayotegemea Biblia katika sanduku lako la posta kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyopo.
Tafadhali nipelekeeni uandikisho wa mwaka mzima wa Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Nimeambatanisha Kshs. 83.00 (Tshs. 240/- au BWF 600).