Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w87 7/15 uku. 32
  • “Kitabu Hiki Chapaswa Kupokea Tuzo”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Kitabu Hiki Chapaswa Kupokea Tuzo”
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
w87 7/15 uku. 32

“Kitabu Hiki Chapaswa Kupokea Tuzo”

Barua ifuatayo ilipokewa kutoka East Orange, New Jersey, U.S.A.

“Bwana Mpendwa:

“Hivi karibuni mimi nilikuwa na furaha ya kusoma kitabu Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? Mimi nilikipata bila kutazamia nilipokuwa nikifanya kazi katika chumba cha kupokelea na kusafi-rishia barua kazini mwangu. Nami nilifikiri kitabu hicho ni chenye kuvutia sana sana. Watu wale waliotunga kitabu hiki chenye kustaajabisha sana wanastahili kupo-ngezwa. Sitoi pongezi bure, lakini hakika wao wana-weza kupata pongezi zangu za unyofu.

“Nina mabinti wawili wazuri sana, wa umri wa miaka kumi na mmoja na saba. Mimi nina hakika kitabu hiki kitathibitika kuwa chombo chenye thamani kubwa katika elimu ya msingi wanayopokea sass. Kitabu hicho kiliandikwa vizuri sana kwa chapa kubwa—chenye kufaa sana macho ya Baba Mpendwa Aliye Mzee. Kitabu hiki chapaswa kipokee tuzo kwa sababu ni chenye rangi-rangi nzuri sana, ni chenye picha nzuri sana na kimeandikwa kwa ustadi sana.... Tafadhali niambie ni wapi na jinsi gani nitaagiza. Mimi nataka nakala taw, hivyo tafadhali tuma fomu za kuagizia na bei upesi iwezekanavyo.“

chini pamoja na mchango wa Kshs. 40/- (Tshs. 110/-,

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, kite kitabu chenye kurasa 256 Life—How Did It Get Here? By Evolution or by creation? Mimi nimewapelekea Kshs. 110/-; RWF 250)

hs. 110/-; RWF 250)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki