Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 7/1 uku. 32
  • Msaada Katika Kuchagua Marafiki

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msaada Katika Kuchagua Marafiki
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 7/1 uku. 32

Msaada Katika Kuchagua Marafiki

Je! wewe ungeweza kutumia kadiri fulani ya msaada huo? Vijana wanaelekeana na maamuzi mengi mazito wanapokuwa wakikua katika nyakati hizi zenye msukosuko. Msichana mchanga wa kutoka Uingereza anaandika hivi kuhusu msaada ulioandaliwa na Kupata Faida Zote za Ujana Wako:

“Mimi nina uhakika kwamba hiki ndicho kitabu bora zaidi kilichopata kuandikwa kwa ajili ya watoto.

Mimi nina umri wa miaka 13, nacho kimenisaidia kwa mambo mengi, kama vile ‘Sababu Gani Ujifunze Shuleni?,’ ‘Je! Unamaliza Unachoanza?,’ na ‘Wataka Rafiki za Namna Gani?’ Mimi nimekuwa na matatizo fulani ya kuchagua marafiki, na sura hii imenisaidia mimi kweli kweli. Asanteni kwa kitabu hiki ambacho kwa kweli ni kizuri sana.”

Wewe pia unaweza kupata kitabu hiki, ambacho kinazungumzia maswali yaliyo juu na mengine zaidi, kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani Iliyopo chini. Ni Kshs. 15.00 (Tshs. 80.00) tu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki