Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ijwbq makala 19
  • Je, Ni Sawa kwa Mkristo Kutumia Mbinu za Kupanga Uzazi?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Ni Sawa kwa Mkristo Kutumia Mbinu za Kupanga Uzazi?
  • Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Jibu la Biblia
  • Je, Ni Vibaya Kutumia Njia za Kuzuia Uzazi?
    Amkeni!—2007
  • Maswali Kumi Kuhusu Ngono Yajibiwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Ni Nani Anayepaswa Kuamua Ukubwa wa Familia?
    Amkeni!—1996
  • Biblia Inasema Nini Kuhusu Ndoa?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
Pata Habari Zaidi
Maswali ya Biblia Yajibiwa
ijwbq makala 19
Wenzi wa ndoa wakitembea baharini

Je, Ni Sawa kwa Mkristo Kutumia Mbinu za Kupanga Uzazi?

Jibu la Biblia

Yesu hakuwaamuru wafuasi wake wapate au wasipate watoto. Wala hakuna yeyote kati ya wanafunzi wake aliyetoa mwongozo kama huo. Hakuna andiko lolote katika Biblia linalopinga moja kwa moja kupanga uzazi. Katika jambo hilo, kanuni inayotumika ni ya Waroma 14:12: “Kila mmoja wetu atatoa hesabu kwa Mungu kwa ajili yake mwenyewe.”

Hivyo, wenzi wa ndoa wana uhuru wa kujiamulia ikiwa watapata watoto au la. Pia, wanaweza kuamua watakuwa na watoto wangapi na wakati ambao watapata watoto hao. Mume na mke wakiamua kutumia mbinu ya kupanga uzazi ambayo haihusishi kutoa mimba, huo ni uamuzi na daraka lao wenyewe. Hakuna mtu anayepaswa kuwahukumu.—Waroma 14:4, 10-13.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki