32 Basi akawaambia: “Nendeni!” Ndipo wakatoka na kuingia ndani ya wale nguruwe, na tazama! kundi zima likatimua mbio, likaruka poromoko* likazama baharini na kufa maji.
32 Basi akawaambia: “Nendeni!” Wakatoka na kwenda zao, wakaingia ndani ya wale nguruwe; na, tazama! kundi zima likatimua mbio, likaruka poromoko, likaingia baharini na kufa majini.+