13 Yesu aliposikia hilo, akaondoka hapo kwa mashua, akaenda mahali pasipo na watu ili awe peke yake. Lakini umati ulipopata habari, ukamfuata kwa miguu kutoka katika majiji.+
13 Aliposikia hilo Yesu akaondoka hapo kwa mashua kwenda mahali pasipo na watu ili awe peke yake;+ lakini umati, uliposikia hilo, ukamfuata kwa miguu kutoka katika majiji.