-
Mathayo 26:65Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
65 Ndipo kuhani mkuu akayararua mavazi yake ya nje, akisema: “Amekufuru! Tunahitaji mashahidi wengine wa nini? Tazama! Sasa mmemsikia akikufuru.
-