73 Baada ya muda mfupi wale waliokuwa wamesimama hapo wakaja na kumwambia Petro: “Hakika wewe pia ni mmoja wao, kwa maana matamshi* yako yanakutambulisha.”
73 Baada ya muda kidogo wale waliokuwa wamesimama kuzunguka wakaja na kumwambia Petro: “Hakika wewe pia ni mmoja wao, kwa maana, kwa kweli, matamshi yako yanakutambulisha wazi.”+