26 Alikuwa ameteseka sana* mikononi mwa madaktari wengi na alikuwa ametumia mali yake yote, na hakuwa amepona, badala yake hali yake ilizidi kuwa mbaya.
26 naye alikuwa ameumizwa sana na matabibu wengi+ na alikuwa ametumia mali zake zote naye hakuwa amefaidika bali, badala yake, hali yake ikawa mbaya zaidi.