Marko 6:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Binti ya Herodia akaingia, akacheza dansi na kumfurahisha Herode na wageni wake.* Mfalme akamwambia msichana huyo: “Niombe chochote unachotaka, nami nitakupa.” Marko 6:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Na binti ya Herodia huyohuyo akaingia, akacheza dansi na kumpendeza Herode na wale wenye kuketi+ pamoja naye. Mfalme akamwambia mwanamwali huyo: “Niombe chochote unachotaka, nami nitakupa.” Marko Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 6:22 Mnara wa Mlinzi,3/15/1994, uku. 30
22 Binti ya Herodia akaingia, akacheza dansi na kumfurahisha Herode na wageni wake.* Mfalme akamwambia msichana huyo: “Niombe chochote unachotaka, nami nitakupa.”
22 Na binti ya Herodia huyohuyo akaingia, akacheza dansi na kumpendeza Herode na wale wenye kuketi+ pamoja naye. Mfalme akamwambia mwanamwali huyo: “Niombe chochote unachotaka, nami nitakupa.”