-
Luka 3:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Yohana alikuwa amemkaripia Herode mtawala wa wilaya kwa kumchukua Herodia mke wa ndugu yake na kwa sababu ya matendo yote maovu ambayo Herode alikuwa amefanya,
-