24 Lakini ili mjue kwamba Mwana wa binadamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi duniani—” akamwambia yule mtu aliyepooza: “Ninakuambia, Simama, uchukue kitanda chako, uende nyumbani.”+
24 Lakini ili mjue kwamba Mwana wa binadamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi duniani —” akamwambia mtu aliyepooza: “Ninakuambia, Simama, chukua kitanda chako, uende nyumbani.”+