-
Luka 5:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Pia, hakuna mtu anayeweka divai mpya katika viriba vya divai vilivyochakaa. Akifanya hivyo, divai mpya itavipasua viriba, nayo itamwagika na viriba vitaharibika.
-