41 Lakini tazama! mwanamume anayeitwa Yairo akaja, alikuwa ofisa msimamizi wa sinagogi. Akajiangusha miguuni pa Yesu akaanza kumsihi aende nyumbani kwake,+
41 Lakini, tazama! mwanamume anayeitwa Yairo akaja, na mtu huyu alikuwa ofisa-msimamizi wa sinagogi. Naye akajiangusha miguuni pa Yesu akaanza kumsihi aingie katika nyumba yake,+