46 Ndipo akasema: “Ole wenu pia ninyi mlio na ujuzi wa Sheria, kwa sababu mnawatwika watu mizigo mizito, lakini ninyi wenyewe hamwigusi hata kwa kidole kimoja!+
46 Ndipo akasema: “Ole wenu pia ninyi mlio na ujuzi mwingi wa Sheria, kwa sababu ninyi huwatwika watu mizigo iliyo mizito kubebwa, lakini ninyi wenyewe hamwigusi mizigo hiyo kwa kimoja cha vidole vyenu!+