25 Mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, mtakuwa nje mkibisha mlangoni, mkisema, ‘Bwana, tufungulie.’+ Lakini atawajibu: ‘Sijui mnatoka wapi.’
25 wakati mwenye nyumba anapomaliza kusimama na kuufunga mlango, nanyi mnaanza kusimama nje na kupiga hodi mlangoni, mkisema, ‘Bwana, tufungulie.’+ Lakini atawajibu na kuwaambia ninyi, ‘Sijui mnatoka wapi.’+