-
Luka 14:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Au mfalme akienda kupigana vita na mfalme mwingine, je, haketi kwanza na kufikiri iwapo akiwa na wanajeshi 10,000 anaweza kumshinda yule anayekuja akiwa na wanajeshi 20,000?
-