-
Luka 16:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Basi akamwita na kumwambia, ‘Ni mambo gani haya ninayosikia kukuhusu? Lete rekodi za usimamizi kwa sababu huwezi tena kusimamia nyumba yangu.’
-