-
Luka 17:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Hapana. Badala yake atamwambia, ‘Nitayarishie chakula cha jioni, na ujifunge vazi la kazi ili unihudumie mpaka nitakapomaliza kula na kunywa, kisha unaweza kula na kunywa.’
-
-
Luka 17:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Badala yake, je, hatamwambia, ‘Nitayarishie kitu ili nipate mlo wangu wa jioni, nawe jifunge unihudumie mpaka niwe nimemaliza kula na kunywa, kisha unaweza kula na kunywa’?
-