22 Akamwambia, ‘Ninakuhukumu kwa maneno yako mwenyewe, mtumwa mwovu. Ulijua, sivyo, kwamba mimi ni mtu mkali, ambaye huchukua kile ambacho sikuweka akiba na kuvuna kile ambacho sikupanda?+
22 Akamwambia, ‘Ninakuhukumu kutoka kinywani mwako mwenyewe,+ mtumwa mwovu. Ulijua, sivyo, kwamba mimi ni mtu mgumu, ambaye huchukua kile ambacho sikuweka akiba na kuvuna kile ambacho sikupanda?+