-
Yohana 13:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Yesu akamwambia: “Yeyote ambaye ameoga hahitaji kuoshwa zaidi ya miguu yake, yuko safi kabisa. Nanyi mko safi, lakini sio nyote.”
-