28 Mlisikia nikiwaambia, ‘Ninaenda, nami nitakuja tena kwenu.’ Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa maana Baba ni mkuu kuliko mimi.+
28 Mlisikia kwamba niliwaambia, Ninaenda zangu nami nitakuja tena kwenu. Kama mngenipenda, mngeshangilia kwamba ninaenda kwa Baba, kwa sababu Baba ni mkuu+ kuliko mimi.