4 Kaeni katika muungano pamoja nami, nami nitakaa katika muungano pamoja nanyi. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa matunda likiwa peke yake lisipobaki katika mzabibu, vivyo hivyo hamwezi kuzaa matunda msipokaa katika muungano pamoja nami.+
4 Kaeni katika muungano pamoja nami, na mimi katika muungano pamoja nanyi.+ Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa matunda likiwa peke yake lisipokaa katika mzabibu, vivyo hivyo ninyi hamwezi, msipokaa katika muungano pamoja nami.+