15 Hata hivyo, wakasema kwa sauti kubwa: “Mwondoe! Mwondoe! Atundikwe mtini!”* Pilato akawaambia: “Je, mnataka nimuue mfalme wenu?” Wakuu wa makuhani wakajibu: “Sisi hatuna mfalme ila Kaisari.”
15 Hata hivyo, wakapaaza sauti: “Mwondolee mbali! Mwondolee mbali! Mtundike mtini!” Pilato akawaambia: “Je, nimtundike mtini mfalme wenu?” Wakuu wa makuhani wakajibu: “Sisi hatuna mfalme ila Kaisari.”+